Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Champion of Comedy Award kutoka kwa Ommy Dimpoz kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasanii wa Komedi Tanzania (TCA) katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025. Mhe. Rais Dkt. Samia alikabidhiwa Tuzo hiyo kutokana na mchango wake mkubwa wakuwasaidia wasanii wa Tanzania.
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasanii wa Komedi Tanzania (TCA) iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi mbalimbali wa Tuzo za Komedi mara baada ya hafla ya utoaji wa Tuzo hizo katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi mbalimbali wa Tuzo za Komedi mara baada ya hafla ya utoaji wa Tuzo hizo katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025