Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko, Bungeni Jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi, Bungeni Jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mohamed mchengerwa, Bungeni Jijini Dodoma Januari 31, 2025.