Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa njia ya mtandao leo tarehe 29 Januari, 2025 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

RAIS SAMIA KATIKA KIKAO CHA DHARURA CHA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
