Sergio Aguero akifunga bao lililoelekea kuwa la ushindi kwa Manchester City dakika ya 87 kabla ya Fernandinho kujifunga dakika ya 90 na kufanya sare ya 2-2 na Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Aguero pia aliifungia bao la kwanza Manchester City dakika ya 82 lililokuwa la kusawazisha baada ya Cenk Tosun kuanza kuifungia Crystal Palace dakika ya 39 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MANCHESTER CITY YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA CRYSTAL PALACE ETIHAD
By Alex Sonna
January 18, 2020 | 7:37 pm

Related Stories
View all
Michezo
1 day ago
SIMBA SC YAICHAPA YANGA 2-1, YAONGOZA LIGI KUU
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC, katika mchezo wa Ligi Kuu…
Michezo
3 days ago
OLBALBAL MWAMBA WA LUSAKA RHINO CUP
Mashindano ya Rhino Cup yamefikia tamati leo tarehe 8 oktoba, 2026 kwa timu ya kata ya Olbalbal kuicharaza bila huruma jumla ya Goli 3-2…
