Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.
Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akifafanua jambo wakati wa Kikao cha
Mashauriano na Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa
Mazingira wa mwaka 2024 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na
Mazingira jijini Dodoma leo Januari 22, 2025.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe.
Jackson Kiswaga akiongoza Kikao cha Mashauriano na Serikali kuhusu
Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira wa mwaka 2024 mbele ya
jijini Dodoma leo Januari 22, 2025.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis
Hamza Khamis akifuatilia Kikao cha Mashauriano na Serikali kuhusu Muswada
wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira wa mwaka 2024 na Kamati ya Kudumu
ya Bunge ya Maji na Mazingira jijini Dodoma leo Januari 22, 2025.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja na Naibu
Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme
wakifuatilia Kikao cha Mashauriano na Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya
Usimamizi wa Mazingira wa mwaka 2024 na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Maji na Mazingira jijini Dodoma leo Januari 22, 2025.
Wajumbe Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakiwa katika
Kikao cha Mashauriano na Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi
wa Mazingira wa mwaka 2024 jijini Dodoma leo Januari 22, 2025.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw.
Dustan Shimbo akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali wakati wa Kikao cha
Mashauriano na Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa
Mazingira wa mwaka 2024 na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maji na
Mazingira jijini Dodoma leo Januari 22, 2025.