Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus Wazungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Januari, 2025.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yake na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.