Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ,Jaji Mstaafu Mhe. Mathew Mwaimu,akizungumza wakati akifunga maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu kitaifa kwa mwaka huu,yaliyofanyika leo Disemba 12,2024 jijini Dodoma.

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew Kirama,akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu kitaifa kwa mwaka huu,yaliyofanyika leo Disemba 12,2024 jijini Dodoma.
Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ,Jaji Mstaafu Mhe. Mathew Mwaimu (hayupo pichani) wakati akifunga maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu kitaifa kwa mwaka huu,yaliyofanyika leo Disemba 12,2024 jijini Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bi.Neema Mwakalyelye,akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ,Jaji Mstaafu Mhe. Mathew Mwaimu (hayupo pichani) mara baada ya kufunga maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu kitaifa kwa mwaka huu,yaliyofanyika leo Disemba 12,2024 jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ,Jaji Mstaafu Mhe. Mathew Mwaimu.akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu kitaifa kwa mwaka huu,yaliyofanyika leo Disemba 12,2024 jijini Dodoma.
Na.Alex Sonna-DODOMA
MWENYEKITI wa Tume ya haki za Binadamu na Utawala Bora Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu,ameitaka Serikali kutokupuuza malalamiko ya Viongozi na wananchi yaliyojitokeza wakati wa michakato na kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27,mwaka huu yatatuliwe ili yasijitokeze tena katika uchaguzi ujao.
Jaji Mstaafu Mwaimu ameyabainisha leo Disemba 12,2024 jijini Dodoma wakati wa maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu yaliyoongozwa na kauli mbiu ya tumia haki yako ya Kidemokrasia,chagua Viongozi waadilifu wanaozingatia haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa maendeleo ya taifa letu.
Katika hatua nyingine Jaji Mstaafu Mwaimu amewaonya watumishi wasiozingatia haki za binadamu wakati wa kutekeleza majukumu yao kwani kanuni za utendaji katika utumishi wa umma zinaeleza kuhusu mienendo na tabia zinazofaa kwa watumishi wa umma.
Kwa upande wake Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew Kirama,amesema Maadhimisho hayo uratibiwa kwa pamoja na taasisi zinazosimamia maadili, mapambano dhidi ya Rushwa na Haki za utawala bora nchini na imeamuliwa watumishi wote wakutane na kutafakari ya ndani kupitia kwenye uwasilishaji wa mada mbalimbali.
Akitoa neno la shukrani Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Bi.Neema Mwakalyelye,amesema kuwa watatekeleza majukumu yao kwa kuzangatia maadili na haki za binadamu kuhususani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwakani.