RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Al-Khaimah, Bw.Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu ndogo Migombani Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, (kulia) Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania.Mhe.Khalifa Abdulrahman Almarzooqi na Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas Nishant Dighe..
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania.Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi na ( kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas Nishant Dighe.walipofika Ikulu ndogo Migombani Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Al Khaimah. Bw,Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu Ndogo Migombani na ujumbe wake kwa mazungumzo, akiwa zanzibar akihudhuria Maadhimisho ya sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(kulia) Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania.Mhe.Khalifa Abdulrahaman Al Marzooqi na Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas.Bw.Nishant Dighe.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Khaimahn Bwana Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu Ndogo Migombani Jijini Zanzibar , kwa mazungumzo, baada ya kuhudhuria sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilifanyika Uwanja Amaan .(Picha na IKULU)