JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  BUNGE LA TANZANIA 

MAREHEMU MHESHIMIWA DKT. FAUSTINE ENGELBERT NDUGULILE (31/03/1969 – 27/11/2024)  RATIBA YA MAZISHI TAREHE 29 NOVEMBA HADI   TAREHE 03 DISEMBA, 2024, DAR ES SALAAM 

______________

RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MHESHIMIWA  

DKT. FAUSTINE ENGELBERT NDUGULILE 

TAREHE 29 NOVEMBA HADI TAREHE 03 DISEMBA, 2024

29 NOVEMBA, 2024 (IJUMAA)
MUDA TUKIO MAHALI MHUSIKA
6:35 Mchana Mwili wa Marehemu kuwasili  Uwanja wa Ndege wa Dar es  Salaam kutokea India kwa  Ndege ya Shirika la Ndege la  Ethiopia na kupokelewa na: 

Naibu Spika 

Wajumbe wa Tume 

Katibu wa Bunge 

Wawakilishi wa Serikali Wawakilishi wa Chama

Uwanja wa  

Kimataifa wa  

Julius Kambarage  Nyerere, Dar es  Salaam

Mpambe wa  

Bunge/Kamati ya  

Mazishi

Mwili wa Marehemu  

kupelekwa kuhifadhiwa 

Hospitali ya JWTZ, Lugalo

Mpambe wa  

Bunge/Kamati ya  

Mazishi

30 NOVEMBA – 01 DISEMBA, 2024  

(JUMAMOSI NA JUMAPILI)

Maombolezo yanaendelea Nyumbani kwa  

Marehemu

Kamati ya Mazishi
02 DISEMBA, 2024 (JUMATATU)
12:40 – 1:15 

Asubuhi

Mwili wa Marehemu kuelekea  Kanisa la St. Immaculate – Upanga Upanga Mpambe wa  

Bunge 

Kamati ya  

Mazishi

1:30 – 2:30 

Asubuhi

Misa Takatifu St. Immaculate – UpangaFamilia 

Kamati ya  

Mazishi

2:00 – 3:00  

Asubuhi

Viongozi na Wageni  

mbalimbali kuwasili:

Viwanja vya  

Karimjee

Itifaki 

Kamati ya  

Mazishi

3:00 – 3:50  

Asubuhi

Waheshimiwa  

Wabunge Kuwasili 

Waheshimiwa Mabalozi  na Wakuu wa Taasisi  

za Kimataifa kuwasili 

Mheshimiwa Spika  

kuwasili 

Mheshimiwa Waziri  

Mkuu kuwasili 

Mheshimiwa Rais  

kuwasili

Viwanja vya  

Karimjee

Itifaki 

Kamati ya  

Mazishi 

4:00 Asubuhi Mwili wa Marehemu  

Mheshimiwa Dkt. Faustine  Engelbert Ndugulile kuwasili

Viwanja vya  

Karimjee

Mpambe wa  

Bunge 

Itifaki 

Kamati ya  

Mazishi  

Familia

4:00 – 4:20  

Asubuhi

Sala/Dua fupi Viwanja vya  

Karimjee

Mshereheshaji 

Viongozi wa  

Dini

4:20 – 4:30  

Asubuhi

Wasifu wa Marehemu Viwanja vya  

Karimjee

Mbunge  

atakayeteuliwa 

/Katibu wa  

Bunge

4:30 – 4:35  

Asubuhi

Neno kutoka kwa Watoto wa  MarehemuViwanja vya  

Karimjee

Watoto
4:35 Asubuhi – 

5:30 Mchana

SALAMU ZA POLE: 

Chama cha Madaktari  Wanafunzi Tanzania  

(TAMSA)  

Chama cha Madaktari  Tanzania (MAT) 

Washirika wa  

Maendeleo katika  

Masuala ya Afya 

Mwakilishi wa  

Wabunge wa Dar es  

Salaam  

Mwakilishi wa WHO 

Mwakilishi wa CCM

Viwanja vya  

Karimjee

Mshereheshaji

3

Mwakilishi wa  

Wabunge Walio 

Wachache 

Mheshimiwa Waziri  

Mkuu 

Mheshimiwa Spika  

Mheshimiwa Rais 

Neno la shukrani  

kutoka kwa  

Mwanafamilia

6:30 – 8:00  

Mchana

Mheshimiwa Rais  

kuwaongoza Viongozi na  Wageni mbalimbali kutoa  heshima za mwisho

Viwanja vya  

Karimjee 

Mpambe wa  

Bunge 

Itifaki 

Kamati ya  

Mazishi 

8:30 Mchana Mwili wa Marehemu kuelekea  Nyumbani kwa Marehemu Kigamboni Mpambe wa  

Bunge 

Kamati ya  

Mazishi 

3 DISEMBA 2024 (JUMANNE)
2:00 Asubuhi Mwili wa Marehemu kuelekea  Viwanja vya Machava kwa ajili  ya Wananchi kutoa heshima  za mwishoKigamboni DC/Mpambe wa  

Bunge/Kamati ya  

Mazishi

8:00 Mchana Mwili wa Marehemu kuelekea  Kanisa la Bikira Maria  

Consolata kwa ajili ya Misa ya  Mazishi 

Kigamboni Mpambe wa  

Bunge/Kamati ya  

Mazishi

9:00 AlasiriMsafara wa mwili wa  

Marehemu kuondoka kanisani  kuelekea Makaburi ya  

Mwongozo

KigamboniMpambe wa  

Bunge 

Itifaki 

Kamati ya  

Mazishi

9:30 – 11:30 

Alasiri

Mazishi Kigamboni Familia/Mpambe wa  Bunge/Kamati ya  

Mazishi

MWISHO

4