Kiungo wa Real Madrid, Isco akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 39 katika mchezo wa Nusu Fainali ya Super Cup ya Hispania katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Valencia usiku wa jana Uwanja wa King Abdullah Sports City Jijini Jeddah, Saudia Arabia. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Toni Kroos dakika ya 15 na Luka Modric dakika ya 65, wakati la Valencia lilifungwa na Dani Parejo kwa penalti dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI SOMA HAPA
REAL MADRID YAICHAPA VALENCIA 3-1 NA KUTINGA FAINALI SUPER CUP HISPANIA
By Alex Sonna
January 9, 2020 | 8:39 am

Related Stories
View all
Michezo
18 hours ago
SIMBA SC YAICHAPA YANGA 2-1, YAONGOZA LIGI KUU
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC, katika mchezo wa Ligi Kuu…
Michezo
3 days ago
OLBALBAL MWAMBA WA LUSAKA RHINO CUP
Mashindano ya Rhino Cup yamefikia tamati leo tarehe 8 oktoba, 2026 kwa timu ya kata ya Olbalbal kuicharaza bila huruma jumla ya Goli 3-2…
