TAARIFA KWA UMMA
WAFUATAO SIO WATUMISHI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, linatoa taarifa kwa umma kuwa, wafuatao kwenye picha hapo chini sio Watumishi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Jeshi halitahusika ama kutambua shughuli zozote zitakazofanywa na watajwa hapo chini.
Tunawashukuru Wananchi kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Jeshi, pia linawataka Wananchi kutoa taarifa haraka kwa Jeshi pindi wanapotilia shaka mtu yeyote anayejihusisha na kazi za Ukaguzi wa Kinga na Tahadhari Dhidi ya moto.
NOELY J. BYAMUNGU ABDUL S. MPONDOMOKA RAHIM M. PAZI
DUNCAN MWAKAJINGA HASHIM KAPAMBA
JOSEPH CHALE
AHMED A. NASSORO WESTON A. KAZIYALELE
Imetolewa na;
Ofisi ya Habari, Mawasiliano, Uhusiano na Elimu kwa Umma
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji – Makao Makuu
19 Mei, 2019
www.frf.go.tz www.twitter.com/tanzimamoto www.instagram.com/zimamoto_uokoaji www.facebook.com/frf.tz