Mshambuliaji Mzimbabwe wa Azam FC, Donald Ngoma ajikijifua jana kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Mlandege utakaoanza Saa 2:15 usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar