Tuesday, May 26, 2026
Breaking Live updates from Parliament and Government briefings across Tanzania
Full Shangwe Blog
  • Home
  • Beauty
  • Biashara
  • Burudani
  • Entertainment
  • Featured
  • Health
Fullshangwe featured banner Fullshangwe announcement banner
  1. Home
  2. Mchanganyiko

RAIS MAGUFULI AWASILISHA FOMU ZAKE ZA TAMKO LA MALI NA MADENI

By Alex Sonna December 29, 2019 | 4:55 pm





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amewasilisha tamko linalohusu Mapato,Rasilimali na Madeni ya viongozi katika Ofisi ya sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya kisheria na kikatiba.

Tamko hilo limewasilishwa katika ofisi hizo kanda maalumu ya Dar es salaam na katibu wa Rais,  Bwana Ngusa Samike ambaye ametumwa na Mhe Rais akiwa mapumzikoni Chato na limepokelewa na Kamishna wa Sektretarieti ya maadili ya viongozi wa Umma Jaji mstaafu Harold Nsekela.

Akizungumza muda mfupi kabla ya kupokea tamko hilo Jaji mstaafu Nsekela amesema kitendo alichokifanya Mhe.Rais kimetekeleza takwa la kikatiba Ibara ya 132 (5) (D) linalowataka viongozi kuwasilisha taarifa za tamko la mapato, Rasilimali na madeni mara kwa mara lakini pia ametekeleza sheria no 13 ya mwaka 1995 kingu cha 9.

Jaji mstaafu Nsekela akatumia fursa hiyo kuwakumbusha viongozi wengine kutumia siku 2 zilizobaki kufanya hivyo kabla ya tarehe 31 Desemba katika kutekeleza takwa hilo la kisheria na kikatiba

Related Stories

View all
MTENDAJI WA KIJIJI CHA KIGADYE AFIKISHWA MAHAKAMANI AKITUHUMIWA KUOMBA NA KUPOKEA HONGO
Mchanganyiko 11 minutes ago

MTENDAJI WA KIJIJI CHA KIGADYE AFIKISHWA MAHAKAMANI AKITUHUMIWA KUOMBA NA KUPOKEA HONGO

Na mwandishi wetu Kasulu. Mnamo tarehe 25.05.2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Kasulu mbele ya Hakimu Mkazi wa Wilaya Mhe. S.A.Mchalo (SRM) na Mwendesha…

BARAZA LA MADIWANI JIJI LA DODOMA LAWAFUKUZA KAZI WATUMISHI WATATU NA MMOJA KUSHUSHWA CHEO
Mchanganyiko 23 minutes ago

BARAZA LA MADIWANI JIJI LA DODOMA LAWAFUKUZA KAZI WATUMISHI WATATU NA MMOJA KUSHUSHWA CHEO

📍 DODOMA BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dodoma limewafukuza kazi watumishi watatu na mtumishi mmoja kushushwa cheo na mshahara kufuatia kukiuka…

Latest Updates

  • MTENDAJI WA KIJIJI CHA KIGADYE AFIKISHWA MAHAKAMANI AKITUHUMIWA KUOMBA NA KUPOKEA HONGO19:58
  • BARAZA LA MADIWANI JIJI LA DODOMA LAWAFUKUZA KAZI WATUMISHI WATATU NA MMOJA KUSHUSHWA CHEO19:46
  • DKT. MWIGULU ASHIRIKI MKUTANO WA NGAZI YA WAKUU WA NCHI JIJINI BRAZZAVILLE19:22
  • WIZARA YA MAMBO YA NJE: DIPLOMASIA YA UCHUMI KUWA KIPAUMBELE 2026/202719:05

Popular Reads

  1. What the latest audit findings mean for public accountability
  2. Five policy files to watch before the next parliamentary session
  3. How regional administration changes affect local services
Full Shangwe Blog

Hard-news coverage of Tanzania politics, government, parliament, policy, and public accountability.

[email protected] +255 700 000 000

News

  • Politics
  • Government
  • Parliament
  • Policy

Topics

  • Elections
  • Budget
  • Regions
  • Diplomacy

Readers

  • About Us
  • Advertise
  • Contact
  • Submit News

Follow

© 2026 Full Shangwe Blog. All rights reserved. Design by Webline Africa Limited
Privacy Policy Terms Editorial Policy