Nathan Redmond akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Southampton bao la pili dakika ya73 kufuatia Michael Obafemi kufunga ka kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London PICHA ZAIDI SOMA HAPA