Mkurugenzi wa Mashindano wa klabu ya Yanga SC, Thabit Kandoro (kushoto) akiwa na mshambuliaji Muivory Coast, Gislein Yikpe Gnamian aliyekuwa anachezea Gor Mahia ya Kenya baada ya kuwasili leo kwa ajili ya kujiunga na klabu hiyo