Mwakilishi wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera, Bw. Cyrus Kapinga akizungumza na Viongozi na Watumishi wa Umma wakati wa uzinduzi wa Kambi ya Uchunguzi, Ushauri na Elimu ya Afya uliofanyika katika jengo dogo la Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Baadhi ya Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na watumishi wengine wa Wizara na Taasisi wakimsikiliza Mwakilishi wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera, Bw. Cyrus Kapinga (hayupo pichani) wakati akizindua Kambi ya Uchunguzi, Ushauri na Elimu ya Afya uliofanyika katika jengo dogo la Ofisi hiyo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Profesa Abel Makubi akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Mwakilishi wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera, Bw. Cyrus Kapinga kuzindua Kambi ya Uchunguzi, Ushauri na Elimu ya Afya uliofanyika katika jengo dogo la Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Mwakilishi wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera, Bw. Cyrus Kapinga akifuatilia huduma inayotolewa na Daktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa mara baada ya kuzindua Kambi ya Uchunguzi, Ushauri na Elimu ya Afya uliofanyika katika jengo dogo la Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Profesa Abel Makubi (kushoto) akimkaribisha Mwakilishi wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera, Bw. Cyrus Kapinga kuzindua Kambi ya Uchunguzi, Ushauri na Elimu ya Afya uliofanyika katika jengo dogo la Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Hospitali ya Benjamin Mkapa, Bi. Prisca Lwangili. Serikali Mtumba jijini Dodoma