Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Eliakim Maswi akisaini Kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) katika Maonesho ya Sikukuuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Jumanne Agosti 6, 2024.
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Eliakim Maswi akiondoka katika Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) muda mfupi baada ya kusalimiana na kusaini kitabu cha wageni katika banda la Ofisi hiyo katika Maonesho ya Sikukuuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Jumanne Agosti 6, 2024.
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Eliakimu Maswi akisaini Kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) katika Maonesho ya Sikukuuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Jumanne Agosti 6, 2024.
Afisa Maendeleo ya Jamii Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bw. Raphael Maziku akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya Muungano kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Itega iliyopo Jiji la Dodoma wakati walitembelea Banda la Ofisi hiyo katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Jumanne Agosti 6, 2024.

Afisa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Bw. Abdallah Lungo akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya Mazingira kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Lukundo iliyopo Jiji la Dodoma wakati walitembelea Banda la Ofisi hiyo katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Jumanne Agosti 6, 2024.