Na.Mwandishi Wetu- MARA
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura, Julai 17,2024 amefanya ukaguzi wa Jengo la Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya ikiwa ni miongoni mwa majengo mapya ya ofisi za makamanda ambayo ujenzi wake tayari umekwisha kukamilika ukisubiri ufunguzi rasmi kwa ajili ya kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Picha na Jeshi la Polisi