Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini
Mwanza kuongoza Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri leo
Jumatatu December 9, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika
sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya
Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza.
Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William
Mkapa akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya
Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe
zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba
akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa
Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe
zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye akiwasalimia
wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara
pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika
uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein akiwasalimia
wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara
pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika
uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan
Mwinyi akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya
Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe
zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwasalimia
wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara
pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika
uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akikagua gwaride la heshima katika Uwanja wa CCM Kirumba
jijini Mwanza katika Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri
leo Jumatatu December 9, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipokea heshima baada ya kuwasili katika Uwanja wa CCM
Kirumba jijini Mwanza kuongoza Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya
Jamhuri leo Jumatatu December 9, 2019.
Muonekano wa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa
Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri zilizoongozwa na Rais
Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu December 9, 2019.
Kikosi cha Makomando wa JWTZ wakionesha
umahiri wao wa kufanya zoezi la uokozi katika mfano wa Tukio la
Utekaji.
Kikundi cha Sungusungu cha kutoka Kwimba
mkoani Mwanza kikitumbuiza katika sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa
Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika
uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza.
Baadhi ya Mawaziri wakiimba na kucheza wimbo wa
Harmonize wakati wa sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara
pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM
Kirumba jijjini Mwanza.