Rais wa Iran Ebrahim Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian na wengine kadhaa wamethibitishwa kufariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea Jumapili kaskazini-Magharibi mwa Iran.
Ebrahim Raisi ameingia madarakani kuiongoza Iran mwaka 2021 na hiyo ni baada ya awali kugombea kiti cha urais mwaka 2017 ambapo wlishindwa.
Vikosi vya uokoaji wa Vikiwa katika eneo ambalo helikopta hiyo iliangukia kama yanavyoonekana kwenye picha.
Picha zikimuomesha Rais wa Iran Ebrahim Raisi juu kulia, Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian na viongozi wengine waliopoteza maisha katika ajali hiyo.