Daktari bingwa wa moyo Constantin Nyamuzangula na Daktari bingwa wa sukari Ndikumana Sudi kutoka nchini Burundi wakiangalia huduma zinazotolewa katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU) cha Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) walipotembelea taasisi hiyo leo kwaajili ya kuangalia huduma zinazotolewa.
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Agnes Lugendo akiwaelezea huduma zinazotolewa katika wodi ya wagonjwa waliofanyiwa upasuaji wa moyo Daktari bingwa wa moyo Constantin Nyamuzangula na Daktari bingwa wa sukari Ndikumana Sudi kutoka nchini Burundi walipotembelea JKCI leo kwaajili ya kuangalia huduma zinazotolewa na Taasisi hiyo.
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) anayefanya kazi chumba cha uangalizi maalumu cha watoto (ICU) Jackline Siane akiwaelezea namna wanavyowahudumia watoto Daktari bingwa wa moyo Constantin Nyamuzangula na Daktari bingwa wa sukari Ndikumana Sudi kutoka nchini
Burundi walipotembelea Taasisi hiyo leo kwaajili ya kuangalia huduma zinazotolewa.
Afisa Uuguzi na mkufunzi wa mafunzo ya huduma za dharura wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Joshua Ogutu akiwaelezea mafunzo yanayotolewa na JKCI Daktari bingwa wa moyo Constantin Nyamuzangula na Daktari bingwa wa sukari Ndikumana Sudi kutoka nchini Burundi walipotembelea Taasisi hiyo leo kwa ajili ya kuangalia huduma zinazotolewa.
Kaimu Mkuu wa Hospitali ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dar Group Dkt. Tulizo Shemu akiwa katika picha ya pamoja na Daktari bingwa wa moyo Constantin Nyamuzangula na Daktari bingwa wa sukari Ndikumana Sudi kutoka nchini Burundi walipotembelea taasisi hiyo leo kwaajili ya kuangalia
huduma zinazotolewa na Taasisi hiyo. Picha na: JKCI