Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 16, 2024 amefanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma.

WAZIRI MKUU AKUTANA NA IGP WAMBURA BUNGENI