RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ujumbe alioongazana nao Katibu wa Kamati Kuu ya Uongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam.Mhe.Pham Minh Chinh, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 4-11-2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa maelezo ya mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) kwa Katibu wa Kamati Kuu ya Uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam. Mhe.Pham Minh Chinh,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na ( kulia) ujumbe aliofuatana nao.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.MheDk.Ali Mohamed Shein, akiagana na Katibu wa Kamati Kuu ya Uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam.Mhe. Pham Minh Chinh, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo leo,4-12-2019(Picha na Ikulu)