Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Bungeni Jijini Dodoma. Mei 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene. Bungeni jijini Dodoma, Mei 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, Bungeni jijini Dodoma, Mei 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Mkuu Kassim Majaliwa akifuatilia Hoja ya Wizara ya Kilimo iliyowasilishwa na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe. Bungeni Jijini Dodoma, Mei 3,2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).