Tyrone Mings akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Aston Villa bao la kusawazisha dakika ya 66 ikitoa sare ya 2-2 na wenyeji, Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Bao la kwanza la Aston Villa limefungwa na Jack Grealish dakika ya 11, wakati mabao ya Man United yamefungwa na Tom Heaton aliyejifunga dakika ya 42 na Victor Lindelof dakika ya 64 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MANCHESTER UNITED YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA ASTON VILLA OLD TRAFFORD
By Alex Sonna
December 2, 2019 | 3:30 am

Related Stories
View all
Michezo
39 minutes ago
DODOMA JIJI YAVURUGA HESABU ZA YANGA MBIO UBINGWA
Kikosi cha Dodoma Jiji FC kimeibuka na ushindi mkubwa wa mabao 3-2 dhidi ya mabingwa watetezi Young Africans SC katika mchezo wa Ligi Kuu…
Michezo
24 hours ago
NAIBU WAZIRI QWARAY ANENA NA WAUGUZI DUNIANI
NAIBU Waziri ofisi ya Rais,menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora ,Regina Ndege Qwaray akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta…
