RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka Mitatu (3) ya Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi (SNR) hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-3-2024.(Picha na Ikulu)
MAOFISA wa (SNR) Sema na Rais Mwinyi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika ya Maadhimisho ya Miaka (3) ya Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi,yaliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-3-2024.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI wa Serikali (wa kwanza kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar .Mhe. Zuberi Ali Maulid, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Ndg. Saleh Mussa Juma,wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka Mitatu (3) ya Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi, yaliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-3-2024.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hutuba ya Maadhimisho ya Miaka Mitatu (3) ya Mfumo wa Sema na Rais (SNR) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-3-2024 na (kushoto kwake) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)
WAGENI Waalikwa katika Maadhimisho ya Miaka Mitatu (3) ya Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi (SNR) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-3-2024.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri wa SMZ wakifuatilia hafla ya Maadhimisho ya Miaka Mitatu (3) ya Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi (SNR) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-3-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Tuzo Mwananchi Ndg.Ali Abdallah Simai kwa uvumilivu wake wa kudai pensheni yake kwa muda mrefu, kupitia mfumo wa Sema na Rais Mwinyi (SNR) amafanikiwa kulipwa pensheni yake, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka Mitatu (3) Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi, yaliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-3-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi, kwa mchango wake kusikiliza Changamoto za Wananchi kupitia Mfumo wa Sema na Rais (SNR), wakati wa Maadhimisho ya Miaka Mitatu (3) ya Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi, yaliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-3-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum kwa Mchango wake kupitia Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi (SNR ) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe. Ali S Ameir, wakati wa Maadhimisho ya Miaka Mitatu (3) ya Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi (SNR) yaliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-3-2024.(Picha na Ikulu)