Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi katika kijiji cha Ruanda wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe baada ya kukagua ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Ruanda – Nyimbili – Hasamba – Izyola – Itumba yenye urefu wa Kilomita 76.69 ,
Muonekano wa barabara ya Ruanda – Nyimbili – Hasamba – Izyola – Itumba yenye urefu wa Kilomita 76.69 wilayani Mbozi mkoa wa Songwe ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake kwa kiwango cha lami, Novemba 24, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)