Wajumbe wa Kikao cha 12 cha Madiwani wakisikiliza Dua ya Ufunguzi wa Kikao hicho Kilicho pokea na Kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Kazi za Ofisi ya Baraza la Jiji na Kamati za Kudumu za Baraza la Jiji la Zanzibar na Masuala mengine mbalimbali ,Kikao kilicho fanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Michenzani Mall.
Mjumbe wa Kikao cha Madiwani Jacob Oware akiuliza maswali katika kikao cha 12 cha Madiwani ambacho kilipokea na Kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Kazi za Ofisi ya Baraza la Jiji na Kamati za Kudumu za Baraza la Jiji la Zanzibar na Masuala mengine mbalimbali ,Kikao kilicho fanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Michenzani Mall.
Mkuu wa Divisheni ya Huduma za Jamii Manispaa ya Mjini Mwajuma Al;i Abadi akitolea Ufafanuzi wa Maswala yalioulizwa katika kikao cha 12 cha Madiwani ambacho kilipokea na Kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Kazi za Ofisi ya Baraza la Jiji na Kamati za Kudumu za Baraza la Jiji la Zanzibar na Masuala mengine mbalimbali ,Kikao kilicho fanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Michenzani Mall.
Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mohamed Mahmoud akimsikiliza Naibu Mkurugenzi wa Baraza la Jiji Said Salmini Ufuzo akisoma taarifa katika kikao cha 12 cha Madiwani ambacho kilipokea na Kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Kazi za Ofisi ya Baraza la Jiji na Kamati za Kudumu za Baraza la Jiji la Zanzibar na Masuala mengine mbalimbali ,Kikao kilicho fanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Michenzani Mall.
Mstahiki Meya wa Jiji La Zanzibar Mahamed Mahmoud akizungumza katika kikao cha 12 cha Madiwani ambacho kilipokea na Kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Kazi za Ofisi ya Baraza la Jiji na Kamati za Kudumu za Baraza la Jiji la Zanzibar na Masuala mengine mbalimbali ,Kikao kilicho fanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Michenzani Mall.
Mwenyekiti wa Huduma za Jamii na Mazingira Baraza la Jiji la Zanzibar Abdul-latif Omar Haji akisoma Taarifa katika kikao cha 12 cha Madiwani ambacho kilipokea na Kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Kazi za Ofisi ya Baraza la Jiji na Kamati za Kudumu za Baraza la Jiji la Zanzibar na Masuala mengine mbalimbali ,Kikao kilicho fanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Michenzani Mall.
Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Mipangona Bajeti Rahma Ali Khamis akisoma Taarifa katika kikao cha 12 cha Madiwani ambacho kilipokea na Kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Kazi za Ofisi ya Baraza la Jiji na Kamati za Kudumu za Baraza la Jiji la Zanzibar na Masuala mengine mbalimbali ,Kikao kilicho fanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Michenzani Mall.
Mjumbe wa Kikao cha Madiwani Muheshimiwa Janeth Sekuhola akiwasilisha Taarifa katika kikao cha 12 cha Madiwani ambacho kilipokea na Kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Kazi za Ofisi ya Baraza la Jiji na Kamati za Kudumu za Baraza la Jiji la Zanzibar na Masuala mengine mbalimbali ,Kikao kilicho fanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Michenzani Mall.
Mwanasheria wa Baraza la Jiji la Zanzibar Zainabu Makame Sururu akifafanua na kujibu Baadhi ya maswali yalioulizwa katika cha 12 cha Madiwani ambacho kilipokea na Kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Kazi za Ofisi ya Baraza la Jiji na Kamati za Kudumu za Baraza la Jiji la Zanzibar na Masuala mengine mbalimbali ,Kikao kilicho fanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Michenzani Mall.