Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) akiwa katika mazungumzo na Mhe. Mikel Kafando ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Burkina Faso na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Mikel Kafando ambaye ni Rais Mstaafu wa Burkina Faso na Mjumbe Maalum wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi.
Jacob Lekumbere,Afisa Utalii kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro hatosahau siku alipotumia mbinu za kimedani kumkwepa simba aliyetazamana naye uso kwa uso. Jacob akiwa…
Na Oscar Tarimo WMJWM Dodoma Serikali imezitaka familia, viongozi wa dini, viongozi wa kimila na wananchi kwa ujumla kuhakikisha wajane wanalindwa, wanaheshimiwa na kuwezeshwa…