Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) akipokea nakala za hati za utambulisho za Mhe. Mahayub Buyema Mahafud, Balozi mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sarahawi nchini Tanzania.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) akiwa katika mazungumzo na Bwana. Mahayub Buyema Mahafud, Balozi mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu Sarahawi.
*Nchi zaidi ya 38 na Mawaziri zaidi ya 30 wanatarajiwa kushiriki mkutano huo* *Utafiti wa madini, uongezaji thamani na uwekezaji kupewa kipaumbele* Waziri wa…