Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akifungua mkutano wa 13 wa shirikisho la wadau wa korosho Afrika (ACA) unaofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam tarehe 7 Novemba 2019. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akifungua mkutano wa 13 wa shirikisho la wadau wa korosho Afrika (ACA) unaofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam tarehe 7 Novemba 2019.

Na
Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dar es salaam

Serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wawekezaji kuja kuwekeza katika
Tasnia ya Korosho nchini Tanzania ili kutumia vyema fursa mbalimbali zilizopo
ikiwemo kuwekeana katika viwanda vya korosho.

Katika
kipindi kirefu serikali imekuwa ikiuza korosho ghafi jambo ambalo nitapunguza
kipato cha wananchi na pato la serikali hivyo kuagiza wafanyabiashara kuwekeza
kwenye viwanda vya korosho.

Waziri wa
Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 7 Novemba 2019 wakati
akifungua mkutano wa 13 wa shirikisho la wadau wa korosho Afrika (ACA)
unaofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.

Waziri
Hasunga amesema kuwa kwa sasa uwezo wa ubanguaji wa korosho ghafi nchini ni
tani 50,000 ambayo ni sawa na takribani asilimia 20 ya uzalishaji wa korosho
ghafi msimu wa 2018/2019.

Amesema
uwezo huo ni mdogo ikilinganishwa na uzalishaji uliopo sasa na hivyo nchi
inapoteza fursa ya ajira viwandani hususani kwa wanawake na vijana, kukosa
mapato yanayotokana na bidhaa zilizoongezwa thamani kama vile mafuta ya ganda
la korosho (Cashewnut Shell Liquid), vyakula vya mifugo na kupanua wigo wa soko
la korosho.

kwa sasa kuna jumla ya viwanda 25 vya ubanguaji korosho nchini vyenye uwezo wa
kubangua tani 78,000 kwa mwaka. Kati ya hivyo, ni viwanda 12 vyenye uwezo wa
kubangua tani 24,660 ndivyo vinavyofanya kazi hivyo kuna fursa kubwa ya
uwekezaji kwenye viwanda vya ubanguaji korosho.

Aidha,
Waziri Hasunga amesema kuwa kwa upande wa wabanguaji wadogo wa korosho nchini
kupitia umoja wao (UWWKT) wameendelea kuimarisha Umoja wao kwa lengo la
kuongeza kiasi cha korosho kinachobanguliwa nchini.

Mpaka
sasa kuna jumla ya vikundi 209 vidogo vya kubangua korosho nchini kutoka Wilaya
14. Katika msimu wa 2018/2019 vikundi hivi vimefanikiwa kubangua korosho tani
78 tu. Ukosefu wa mitaji, mashine za kubangua korosho, na masoko ya uhakika ni
baadhi ya changamoto zinazokabiliwa na wabanguaji katika kundi hili.

Kwa
ujumla Serikali kupitia Taasisi zake inaendelea kusimamia mikakati iliyopo ya
kuongeza uzalishaji wa korosho ghafi kufikia wastani wa tani 1,000,000 ifikapo
mwaka 2023/2024.

Mikakati
hiyo ni pamoja na kupanda mikorosho mipya 15,000,000 kila mwaka kuanzia mwaka
2019/2020 hadi 2023/2024, kuanzisha mashamba mapya ya kuzalisha mbegu bora za
korosho hususani katika maeneo mapya ya kilimo cha korosho, Kutoa elimu ya
ugani kwa wakulima juu ya kilimo bora cha korosho ikiwa ni pamoja na matumizi
sahihi na salama ya viuatilifu vya zao la korosho na kuhakikisha upatikanaji wa
uhakiki na wa bei nafuu wa viuatilifu vya zao la korosho kwa wakulima.

Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyataja maeneo ambayo yapo wazi kwa ajili ya
uwekezaji katika Tasnia ya Korosho hapa nchini ni pamoja na; Ubanguaji wa
korosho ikiwa ni pamoja na usindikaji wa bidhaa zitokanazo na korosho;
Ufunguaji wa mashamba makubwa ya korosho (Cashewnut plantations/Block farming);
Usambazaji na uuzaji wa mashine za kubangua korosho; Uwepo wa ardhi ya kutosha
iliyotengwa katika mikoa inayozalisha korosho kwa wingi kwa ajili ya ujenzi wa
viwanda vya kubangua korosho; Uwepo wa sera ya viwanda katika ngazi ya Taifa.

Mhe
Hasunga amesema kuwa Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazozalisha korosho ghafi
yenye ubora wa hali ya juu. Korosho ya Tanzania inapendwa katika masoko
mbalimbali ya Kimataifa kutokana na kuwa na ladha nzuri na ya kuvutia, rangi
nyeupe ya asilia ya korosho karanga na ukubwa unaofanana (Uniform size); sifa
inayopunguza gharama ya kudarajisha kabla ya kubanguliwa. Pia, faida ya
kijiografia (Geographical Advantage) ya kuwahi kwa msimu wa korosho nchini
miezi 6 kabla ya nchi nyingine duniani zinazozalisha korosho kwa wingi
hazijaingia sokoni.

Sifa hizo
pamoja na usimamizi mzuri wa Mfumo wa Stakabadhi Ghalani ndio kimsingi
imepelekea kuimarika kwa bei ya korosho ghafi za wakulima kutoka mwaka
2007/2008 hadi mwaka 2017/2018, ambapo bei ya korosho ghafi imekuwa
ikiongezeka na kufikia ya juu kuwahi kupatikana ya Shilingi 4,128/= kwa
kilo katika msimu wa 2017/2018.

Zao hili
huzalishwa kwa wingi hapa nchini kutoka mikoa mitano ambayo ni mikoa ya Kusini
ya Mtwara, Lindi na Ruvuma na mikoa ya Mashariki ambayo ni Pwani na Tanga.
Kutokana na faida za kiuchumi zitokanazo na zao la hili, uwepo wa eneo la
kutosha kwa kilimo na hali ya hewa maridhawa kwa kilimo cha korosho hapa nchini
zao hili kwa sasa linalimwa na zaidi ya mikoa 17 ikiwemo Singida, Mbeya,
Dodoma, Morogoro, Songwe, Njombe, Iringa, Katavi, Tabora, Kigoma, Shinyanga na
Kilimanjaro.