Nahodha Lionel Messi akisikitika baada ya Barcelona kuchapwa mabao 3-1 na wenyeji, Levante katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Ciudad de Valencia. Mabao ya Levante yamefungwa na Jose Campana dakika ya 61, Borja Mayoral dakika ya 63 na Nemanja Radoja dakika ya 68, wakati la Barcelona limefungwa na Messi kwa penalti dakika ya 38 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
LEVANTE YAIZAMISHA 3-1 BARCELONA LA LIGA
By Alex Sonna
November 3, 2019 | 5:40 am

Related Stories
View all
Michezo
4 hours ago
MAXI NA TOURE WAIPELEKA YANGA KILELENI LIGI KUU
YANGA SC imeendelea kukusanya pointi ikishinda mechi ya nne mfululizo katika Ligi Kuu Bara, baada ya leo Agosti 28, 2026 kuichapa Pamba Jiji mabao…
Michezo
11 hours ago
NMB BUNGE BONANZA KUHAMASISHA AFYA NA TIJA KAZINI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. ZAIDI ya washiriki 1,000 kutoka Bunge, wizara 14 na taasisi 10 wanatarajiwa kushiriki NMB Bunge Bonanza 2026 litakalofanyika Jumamosi jijini…
