Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Vietnam nchini Tanzania Mhe. Nguyen Nam Tien katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo Mkoani Dar es Salaam leo tarehe 13 Septemba, 2023.
PICHA: SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM
By Alex Sonna
September 13, 2023 | 9:28 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
1 hour ago
WAZIRI KIKWETE AFUNGA MASHINDANO YA SHIMIWI 2026, ASISITIZA NIDHAMU NA UWAJIBIKAJI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, amewasihi watumishi wa umma kuhamishia ari,…
Mchanganyiko
1 hour ago
DC MAPUNDA AIPONGEZA TANESCO TEMEKE KWA KUIMARISHA HUDUMA
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke kwa juhudi za kuimarisha utoaji wa huduma ya…