Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara akisalimiana na Aliyekuwa Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire (kulia), kabla ya kumkabidhi rasmi ofisi hiyo jijini Dar es Salam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara (kulia) na aliyekuwa Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire (kushoto), wakisania nyaraka za makabidhiano katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire (kulia) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara kabla ya kumkabidhi rasmi ofisi hiyo, jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire (kushoto) akimkabidhi rasmi ofisi Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara mara baada ya kusaini nyaraka za makabidhiano katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam.
PICHA NA W-UC