Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Uraia Mzee Yussuf Awastadhi Bizman Mwene asili ya Rwanda aliezaliwa Zanzibar.katika Hafla ya kukabidhi vyeti kwa Raia wa Tanzania kwa Tajnisi Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Uraia Bi Miskiya Ali Mohamed Mwenye asili ya Komoro aliezaliwa Zanzibar.katika Hafla ya kukabidhi vyeti kwa Raia wa Tanzania kwa Tajnisi Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba katika Hafla ya kukabidhi vyeti kwa Raia wa Tanzania kwa Tajnisi Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi na Waliokabidhiwa Vyeti vya Uraia katika Hafla ya kukabidhi vyeti kwa Raia wa Tanzania kwa Tajnisi Ikulu jijini Zanzibar.
Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika Hafla ya kukabidhi vyeti kwa Raia wa Tanzania kwa Tajnisi Ikulu jijini Zanzibar.
Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika Hafla ya kukabidhi vyeti kwa Raia wa Tanzania kwa Tajnisi Ikulu jijini Zanzibar.
Baadhi ya Wahamiaji wasiohamishika waliohudhuria katika Hafla ya kukabidhi vyeti kwa Raia wa Tanzania kwa Tajnisi Ikulu jijini Zanzibar.
Kamishna Jenerani wa Jeshi la Uhamiaji wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt,Anna Peter Makakala akitoa hotuba ya kitaalamu katika Hafla ya kukabidhi vyeti kwa Raia wa Tanzania kwa Tajnisi Ikulu jijini Zanzibar.
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hamadi Yussuf Masauni akitoa hotuba katika Hafla ya kukabidhi vyeti kwa Raia wa Tanzania kwa Tajnisi Ikulu jijini Zanzibar.