Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akipokea taarifa ya Mkutano wa 19 Wataalamu kutoka nchi za Afrika mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 19 wa Baraza ka Mawaziri wa Mazingira wa Aafrika unaotarajiwa kufanyika jijini Addis Ababa kuanzia leo tarehe 17 hadi 18 Agosti, 2023.
NAIBU WAZIRI KHAMIS KUSHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA AFRIKA
By Alex Sonna
August 17, 2023 | 8:08 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
2 hours ago
SERIKALI KUIMARISHA MIFUMO YA VIPIMO KUKUZA USHINDANI KIMATAIFA
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuimarisha mifumo ya vipimo kama sehemu ya kuendeleza uchumi wa viwanda na biashara…
Mchanganyiko
3 hours ago
KLABU ZA MAADILI ZATAJWA KICHOCHEO CHA TAALUMA NA NIDHAMU HANANG
Kuanzishwa kwa Klabu za Maadili katika shule za msingi na sekondari wilayani Hanang mkoani Manyara kumetajwa kuwa moja ya sababu za mabadiliko kinidhamu na…