Beki Mgiriki wa Arsenal, Sokratis Papastathopoulos akilalamika baada ya kukataliwa bao lake dakika za mwishoni kufuatia refa Martin Atkinson kutazama marudio ya picha za video (VAR) wakitoa sare ya 2-2 na Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Papastathopoulos dakika ya saba na beki mwingine, Mbrazil David Luiz dakika ya tisa, wakati ya Crystal Palace yamefungwa na Luka Milivojevic kwa penalti dakika ya 32 na Jordan Ayew dakika ya 52 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
REFA AKATAA BAO LA ARSENAL DAKIKA ZA LALA SALAMA YASHIKWA NA CRYSTAL PALACE
By Alex Sonna
October 28, 2019 | 3:53 am

Related Stories
View all
Michezo
48 minutes ago
BRAZIL YAICHAPA HAITI 3-0, YAONGOZA KUNDI C
Mabingwa mara tano wa Kombe la Dunia, timu ya taifa ya Brazil maarufu kama Seleção, imepata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Haiti…
Michezo
7 hours ago
MAREKANI YAICHAPA AUSTRALIA 2-0, YAFUZU HATUA INAYOFUATA
Timu ya Taifa ya Marekani imeendelea kuonyesha kiwango bora katika Kombe la Dunia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Australia…
