Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba akitoa taarifa ya utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida kwa kipindi cha Januari 2023 hadi Juni 2023 katika mkutano uliofanyika Ukumbi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Kampasi ya Singida, kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Singida leo Julai 28, 2023. |
Na Dotto Mwaibale, Singida PATO la Mkoa wa Singida (GDP) limekuwa kutoka Sh. Trilioni 2.8 mwaka Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba Julai 28, 2023 wakati Taarifa hiyo imekuja baada ya Kamati ya Siasa Mkoa wa Singida kutembelea na Akizungumzia mpango wa bajeti ya Serukamba alisema pato la wastani la kila mtu kwa Mkoa wa Singida limekuwa Akizungumzia bajeti ya Mwaka 2022/ 2023 katika mwaka wa fedha wa 2022/2023 “Hadi kufikia Juni 30,2023 Mkoawetu ulipokea Sh.218,212,991.409.84 Alisema kwa upande wa bajeti ya Taasisi, katika mwaka wa fedha 2022/2023 Baada ya mkuu wa mkoa kuwasilisha taarifa hiyo wajumbe wa Halmashauri Kuu Serukamba alitumia nafasi hiyo kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa |
Katibu Tawala Mkoa wa Singida, Dk.Fatma Mganga, akizungumza kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Martha Mlata, akizungumza kwenye mkutano huo.
Katibu wa CCM Mkoa wa Singida, Lucy Boniface, akiongoza mkutano huo.
Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Singida wakiwa kwenye mkutano huo.
Wabunge wa Mkoa wa Singida wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Kiaratu (wa pili kutoka kushoto) akiwa na viongozi wengine kwenye mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Wenyeviti wa Halmashauri za Wilaya wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Uwasilishaji wa taarifa na mkuu wa mkoa ukiendelea.
Taswira ya mkutano huo.