Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini Mkoa wa Dar es salaam, Godfrey Mkinga (kushoto) wakati alipokagua barabara ya Maliki inayounganisha Barabara ya Umoja wa mataifa na Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam, Julai 24, 2023. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua barabara ya Maliki inayounganisha Barabara ya Umoja wa mataifa na Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam, Julai 24, 2023. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila. Na kushoto ni Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini Mkoa wa Dar es salaam, Godfrey Mkinga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua barabara ya Maliki inayounganisha Barabara ya Umoja wa Mataifa na Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam, Julai 24, 2023. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mheshimiwa Majaliwa ametoa maagizo hayo leo Julai 24, 2023 alipofanya ziara ya kushitukiza kukagua barabara hiyo.