Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus
Sabas, akiwa na maafisa kutoka Makao Makuu ya Polisi pamoja na Kamanda
wa Mkoa wa Kigoma ACP Martin L. Otieno Wamewasili katika Wilaya ya
Kasulu mkoani humo kwaajli ya kusikiliza malalamiko ya wananchi pamoja wa
wafanyabiashara wadogo wadogo wa Soko la Sophia, kutokana na kuwepo na
wahalifu wanaotumia wilaya kama njia ya kuvushia silaha kutoka nchi za jirani,
ila wengine hushirikiana na waharifu kutoka nchi za jirani kuja wilayani hapo na
kufanya uhalifu wao kisha kukimbilia nchi za jirani kama vile Burundi na
Rwanda.(PICHA NA JESHI LA POLISI)

Rwanda.(PICHA NA JESHI LA POLISI).
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus
Sabas, akiwa na maafisa kutoka Makao Makuu ya Polisi pamoja na Kamanda
wa Mkoa wa Kigoma ACP Martin L. Otieno Wamewasili katika Wilaya ya
Kasulu mkoani humo kwaajli ya kusikiliza malalamiko ya wananchi pamoja wa
wafanyabiashara wadogo wadogo wa Soko la Sophia, kutokana na kuwepo na wahalifu wanaotumia wilaya kama njia ya kuvushia silaha kutoka nchi za jirani,