Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Singida Mashariki  Miraji Mtaturu, Bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, Bungeni jijini Dodoma

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Chana, Bungeni jijini Dodoma, Juni 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)