Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Macrina Clemence kulia akitoa elimu kwa mmoja wa wananchi waliofika kwenye Banda lao wakati wa maonyesho ya 10 ya Biashara na Utalii yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga Wananchi wakiwa kwenye Banda ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakipatiwa huduma mbalimbali wakati wa maonyesho hayoWananchi wakiendelea kupata huduma kwenye Banda ya NHIF