WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal Kassim Ali akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi Mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Saleh Ahmed Al-Hemeiry, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi ya Waziri Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-5-2023.(Picha na Ikulu)