Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa wakati alipowasili viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhuria dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume hafla iliyofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhuria dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume hafla iliyofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi wakati alipowasili viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhuria dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume hafla iliyofanyika leo.
Wake wa Viongozi wakiwa katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Akinamama waliohudhuria dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Akinamama kutoka Shehia mbali mbali za Mikoa ya Zanzibar wakiwa katika kisomo cha w dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar .
Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe. Shang Shisceng akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar .
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othman akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar .
Balozi Ali Abeid Karume kwa niamba ya Familia ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,akiweka shada la mauwa baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk.Philip Mpango (katikati) Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othman (kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe Amani Abeid Karume(wa pili kushoto) na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe. Shang Shisceng (kushoto) wakiwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume wakati kumuombea dua,hafla iliyofanyika Leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanziar.
Wake wa Viongozi wakiongozwa na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanziar Mama Fatma Karume(katikati) wakiwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume wakati wa kumuombea dua,hafla iliyofanyika Leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanziar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia Ubani kuashiria kuanza kwa dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,hafla iliyofanyika Leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar(kulia) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi.
Picha na Ikulu