Kaimu Katibu Mkuu-Sekta ya Ujenzi, Bi Saumu Mruke, akizungumza na baadhi ya watumishi wa Sekta hiyo (hawapo Pichani) wakati akifungua Semina ya mafunzo ya Masuala ya afya kwa Watumishi wa Sekta hiyo, Jijini Dodoma.
Baadhi ya Watumishi kutoka Sekta ya Ujenzi, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Sekta ya Ujenzi, Bi. Saumu Mruke, (Hayupo Pichani) wakati wa semina ya mafunzo ya masuala ya afya yaliyofanyika Jijini Dodoma.
Kaimu Katibu Mkuu-Sekta ya Ujenzi, (wa tatu kulia mbele) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Sekta ya Ujenzi, mara baada ya kufungua semina ya mafunzo ya masuala ya afya, yaliyofanyika Jijini Dodoma.