Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri wa Kisekta, Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Arusha, Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Tanga, Watumishi, Viongozi wa Kimila na wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Msomera, Handeni, Tanga
Baadhi ya Madiwani wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika kikao na Mawaziri wa Kisekta, Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Arusha, Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Tanga, Watumishi, Viongozi wa Kimila na wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Msomera, Handeni,