Sehemu ya Miundombinu ya uboreshaji wa
huduma ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Sumbawanga
mkoani Rukwa ambayo imezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli leo mjini Sumbawanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha ya
kuchorwa yenye taaswira yake wakati akiondoka katika uwanja
wa Nelson Mandela mara baada ya kuwahutubia wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe
Mama Janeth Magufuli wanne kutoka kulia walioshika utepe,
Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa, Waakilishi wa
Umoj wa Ulaya nchini (EU) Waakilishi wa Serikali ya
Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW)
akifungua mradi wa uboreshaji wa huduma ya Maji safi na usafi
wa Mazingira mjini Sumbawanga mkoani Rukwa.
PICHA NA IKULU