Jaji kiongiozi wa mahakama kuu Tanzania Mustapha Siyani wa kwanza kushoto aimsikiliza Hakimu mkazi mfawidhi wa Mahakama ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Gloria Lwomile baada ya kufungua rasmi wa jengo la mahakama ya wilaya Namtumbo,wa pili kushoto Jaji mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya songea Yose Mlyambile.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama nchini Profesa Elisante Ole Gabriel kulia,akitoa maelezo ya ujenzi wa jengo la jengo la mahakama ya wilaya Namtumbo kwa Jaji kiongozi wa Tanzania Mustapha Siyani wa pili kulia wakati wa ufunguzi wa mahakama ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma,wa tatu kulia Jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Songea Yose Mlyambina na wa pili kushoto Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Vita Kawawa.
Jaji Kiongozi wa Mahakama kuu ya Tanzania Mustapha Syani katikati,Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas wa pili kushoto na Jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Songea Jaji Yose Mlyambina wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa mahakama ya wilaya Namtumbo,wa kwanza kushoto mwenyeiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho.
Baadhi ya Mahakimu wa Mahakama za wilaya mkoa wa Ruvuma wakimsikiliza Jaji Kiongozi wa Mahakama kuu ya Tanzania Mustapha Siyani(hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo la mahakama ya wilaya Namtumbo mkoani Ruvuma.
Baadhi ya viongozi wa serikali mkoa wa Ruvuma wakimsikiliza Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mustapha Siyani(hayupo pichani)wakati ya ufunguzi wa jengo la Mahakama ya wilaya Namtumbo mkoani humo.
Baadhi ya wananchi wa wilaya ya Namtumbo waliohudhuria ufunguzi wa jengo la mahakama ya wilaya Namtumbo.
Jengo la mahakama ya wilaya Namtumbo mkoani Ruvuma liliofunguliwa na Jaji Kiongozi Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mustapha Siyani kwa niaba ya majengo mengine ya mahakama za wilaya ya Nanyumbu na Tandahimba mkoani Mtwara na Ngara mkoani Kagera.
Picha zote na Muhidin Amri