Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Tixon Nzunda, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijni Dodoma, Septemba 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)