Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akitia saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin,(picha ya kati) alipofia katika Ofisi ya Ubalozi wa Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo (kushoto) Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng.
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akitia saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin, alipofika katika Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar l
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akitia saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin,(picha ya kati) alipofika katika Ofisi ya Ubalozi wa Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo (kushoto) Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng.
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akizungumza na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng,baada ya kutia saini kitabu cha maombelezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin, leo katika Ubalozi Mdogo wa China Mazizini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (katikati) akiagana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng,baada ya kutia saini kitabu cha maombelezo kufuatilia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin, leo katika Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa China Mazizini Zanzibar (kulia) Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje, Ofisi ya Zanzibar Bi.Mariam Haji Mrisho.[Picha na Ikulu]